Kwa maduka, vibanda, mama mboga na biashara ndogo Kenya
Duka lilikuwa na wateja. Pesa imeenda wapi?
Chipua inaweka hesabu zako kwenye WhatsApp. Iambie siku yako kwa voice note. Kila asubuhi inakuambia ulichouza kweli, faida halisi, na kilichopotea.
- Siku 30 bure
- kisha KES 300 kwa mwezi
- Hakuna app ya kupakua
- Kiswahili au Kiingereza





